Access the full text.
Sign up today, get DeepDyve free for 14 days.
IkisiriMakala hii inachambua baadhi ya maandiko muhimu yatokanayo na mtaala kwa kutoa ufafanuzi wa kina juu ya dhana na vipengele mahususi vya maandiko hayo ambavyo mwalimu wa somo la Kiswahili hupaswa kuvizingatia katika uwasilishaji wa somo lake. Lengo la uchambuzi huu ni kuonesha athari za kutotumia vizuri maandiko hayo na umuhimu wake kwa walimu katika kufundishia somo la Kiswahili. Ufafanuzi umejumuisha maandiko ya aina tatu nayo ni muhtasari, azimio la kazi na andalio la somo. Uchambuzi huu unatokana na kuwepo kwa matumizi ya maandiko hayo isiyosahihi, walimu kutokutumia maandiko hayo kwa kigezo cha uhaba wa upatikanaji na ukosekanaji wa ufahamu wa matumizi ya maandiko hayo. Kutokana na sababu hizo na kwa kuwa lugha ya Kiswahili kimawanda asili ya matumizi yake ni Tanzania, ni muhimu kuwepo kwa andiko hili ili kumwezesha mwalimu wa somo la Kiswahili kutumia maandiko hayo kwa ufanisi na kuhimiza uandaaji wa maandiko hayo kwa idadi inayotosheleza ili kupunguza uhaba. Data za kuwezesha uandishi wa makala hii zimepatikana kwa njia ya mapitio ya maandiko na matini mbalimbali na kutafsiri rejea zilizoandikwa kwa lugha za kigeni hasa Kiingereza. Imebainika kupitia makala hii kuwa kuna athari zinazotokana na kutotumia maandiko hayo kwa walimu jambo ambalo limesababisha maandiko haya kutotumika ipasavyo.
Utafiti, Journal of the Humanities of Tanzania – Brill
Published: Jun 23, 2020
Read and print from thousands of top scholarly journals.
Already have an account? Log in
Bookmark this article. You can see your Bookmarks on your DeepDyve Library.
To save an article, log in first, or sign up for a DeepDyve account if you don’t already have one.
Copy and paste the desired citation format or use the link below to download a file formatted for EndNote
Access the full text.
Sign up today, get DeepDyve free for 14 days.
All DeepDyve websites use cookies to improve your online experience. They were placed on your computer when you launched this website. You can change your cookie settings through your browser.